Kwanini Clouds wameingilia tarehe 4/12 ya EFM?

Wabongo hatuwezi kuendelea yaani mwenzako E FM amepanga event ya komaa concert Clouds nao wamepanga kumleta Rick Ross. Nakumbuka Lady Jay Dee alitangaza show Clouds waka andaa show na kumleta Mwana FA, haya mambo ya ajabu kweli
Ile show "Mwana_Fatuma" aka "chawa wa chuma" alikula za uso.
 
Ile show "Mwana_Fatuma" aka "chawa wa chuma" alikula za uso.
Yaan Kama n Los walienda losses kubwa
Sana sema hawawez kusema[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Tanganyika pakers hapo hapo mahubiri ya mwakasege yanaendelea na yanaisha tar 5.
I hope watagawana wateja au wateja watapiga home and away.
 
Mi na waswahili wenzangu kutoka hapa njia panda ya ulaya tutakua Komaa [emoji23][emoji23]

Sent from
 
Fiesta imekufa , ile waliyokuwa wanawatoza 10,000. Sasa na wao wameleta shows za bure kama Komaa Concert, sijui wameshituka nini!?
R.I.P Ruge angekuwa hai Fiesta ingekuwepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…