Kwanini Coastal Union hawakuingia kwenye chumba rasmi cha kubadilisha jezi?

Kwanini Coastal Union hawakuingia kwenye chumba rasmi cha kubadilisha jezi?

Unaweza ukawalaumu sana COASTAL UNION kwa huo utovu wa nidhamu lakini la kuchukua ni kwanini matukio hayo YANAJIRUDIA?

Huwenda kuna "namna" sasa huwezi kuwazuia watu kujihami.

Hivi wale Galaxy nao hawakuingia vyumbani?!!! Kwani kipindi Cha pili walirudi na NGUVU KUBWA MNO🤣🤣
 
Back
Top Bottom