Husika na kichwa cha Uzi apo juu.
Kam mfatiliaji wa mambo ya chuo utagundua vyuo vingi vya serikali haswa institute hizi au college gharama za hostel zipo juu sanaa.
Mfano IFM, CBE na TIA gharama zao kwa mwaka ni 450,000 huku vyuo kam Mzumbe, UDSM gharama zao zipo chini sana ni 120,000 kwa mwaka.
Kwanini ipo hiv wakat vyote vipo chini ya serikali kwann vingine bei IPO juu kulinganisha na vingine?