Za comed EATV je?Mzee sumaku ana vimaneno vyake huwa navikubal..hapa bongo comedy nazo angalia ni hyo na mamb na vijambo baas
Habarini Wadau,
Mbona waigizaji wa Mizengwe ni wazuri sana na wana vipaji ila hawapewi recognition sana kama comedians wengine?
Japo kipindi chao cha jumapili kinachorushwa na ITV ni kifupi ila watu kama SUMAKU, MKWERE, MARINGO 7 na wengineo ni waigizaji wazuri kweli, haswa Sumaku.
Pia michezo yao ina mafunzo kwa jamii.
Kwanini wanasahaulika?
Nimekuelewa vizuri sana Mkuu.Majibu yake ni marahisi kama siyo mepesi sana Mkuu....
Hawa ' Jamaa '....
- Hawajui ' kujipendekeza ' wala ' kujikomba ' kwa Mtu na hawaendekezi sana ' njaa '.
- Wanapambana sana na kujituma mno wenyewe.
- Hawataki kujihusisha na kuwa ' mabegi ' ya Drugs barons wa Tanzania kama wanavyofanyiwa wengine.
- Wanaridhika na kumshukuru Mwenyezi Mungu sana kwa chochote kile anachowapa kwa ' Jasho ' lao na kamwe hawapendi ' magumashi ' kama wenzao wengi.
- Tungo zao nyingi tena 100% ni za ukweli mtupu na usisahau kuwa 100% ya Watanzania hatupendi kuambiwa ukweli.
Hanna kituuuuZa comed EATV je?
hawa jamaa ni mafundi wakali, toka mizengwe ya max na zembwela, baada ya max kufariki ikaitwa mizengwe.. hiyo ndio comedy ninayoipenda na kuikubali zaidi Tanzania kila jumapili wanaleta kitu kipya, kizuri, kifupi, na chenye mafunzo mahususi.Habarini Wadau,
Mbona waigizaji wa Mizengwe ni wazuri sana na wana vipaji ila hawapewi recognition sana kama comedians wengine?
Japo kipindi chao cha jumapili kinachorushwa na ITV ni kifupi ila watu kama SUMAKU, MKWERE, MARINGO 7 na wengineo ni waigizaji wazuri kweli, haswa Sumaku.
Pia michezo yao ina mafunzo kwa jamii.
Kwanini wanasahaulika?
Ile hapana mkuu sipati mzuka nayo kabisa..Za comed EATV je?
Kwani tanzania kuna Comedian?
hahaaaaa wajifunze kwa wenzao basi
sio kuchekesha maneno bali vitendo. kama maneno kwa asiejua lugha hiyo je?
hawaoni wanavochekeaha wenzao kina Mr Bean kina Chaplain au Kelvn Hart...
ndomaana me siangaliagi utumbo huo wa Mizengwe nk.