musicarlito
JF-Expert Member
- Dec 29, 2020
- 591
- 909
Geographical factors.....Wasalaam
Wakuu nimeangalia ramani ya Congo kwa namna fulani inapakana na bahari ya Atlantic.
Kwanini wasitumie hiyo badala ya Dar es Salaam Tanzania Bahari ya Hindi
Fahamu kwanza ukubwa wa Congo pia biashara kubwa ya Congo ni China na Uarabuni. Pia meli huwa hazibebi mizigo ya nchi moja tu, meli moja inaweza kuwa na mizigo ya Zambia, Congo, Tz, Rwanda n.kWasalaam
Wakuu nimeangalia ramani ya Congo kwa namna fulani inapakana na bahari ya Atlantic.
Kwanini wasitumie hiyo badala ya Dar es Salaam Tanzania Bahari ya Hindi
kwa sasa inakua vigumu sababu hakuna usafiri madhubuti kutokea mashariki ya Congo kwenda Angola lakini........Wasalaam
Wakuu nimeangalia ramani ya Congo kwa namna fulani inapakana na bahari ya Atlantic.
Kwanini wasitumie hiyo badala ya Dar es Salaam Tanzania Bahari ya Hindi
OkSina utaalamu San lakin nahis huwend Indian ocean ndio meli nyingi zinatumia hio bahati na inakuwa rahis zaidi kuliko bahati ya Atlantic. Kwa mfano miak Kam mitatu ivi iliyopita kulikuw na meli kubw ya makontena ilikwam suez kanal misri ns ikaziba njia yenyew kbis kw muda WA wiki mzim. Kuumbuk Suez kanal IPO katik bahar nyekund imeungana na Indian ocean sas kimbembe Mamlaka zikatangaz diversion mchepuko ni kuzunguka Bara la afrika Yan kuend mpaak south Africa alaf kuja na Atlantic ocean adi nchi za Ulaya huwez amini Hakuna meli iliyokubali hio diversion badala yake walikubali Kula hasara ya kusubir adi meli kubw itoke wiki mbili. Sas Kam ingekuw hio njia ya bahati ya Atlantic ni rafik na rahis wasingekataa wote hao.
Bahari ya Atlantiki sio rafiki kwa route za meli za biashara?kwa sasa inakua vigumu sababu hakuna usafiri madhubuti kutokea mashariki ya Congo kwenda Angola lakini........
sababu America ameona ugumu wa kupitisha mizigo Yemen kuelekea Suez Canal hasa mashabulizi ya waasi kama Houth America chini ya Joe Biden wakaja na idea ya Korido ya Lobito hapa ni pamoja na njia ya reli ya kutoka Dar es Salaam -Tanzania kupitia Ndola,Chingola,mpaka Kolwezi KM 2170 lakin Lobito Korido itaanzanChingola - Zambia mpaka Luacano ,Luena,Kuito mpaka Lobito ila kutakua na njia ya Kolwezi - DRC mpka Luau on the way to Lobito na kwenda Ulaya na Marekani
zipo option za Beira Lusaka mpaka Walvis BAY
ni rafiki kwa mizigo inayotoka mashariki ya kati na mbali ukitumia Lobito corridor kuliko kuzunguka good hopeBahari ya Atlantiki sio rafiki kwa route za meli za biashara?
Hili ndio jibu haswaaaaMizigo inayopita bandari ya Dar n ile tu inayokwenda Eastern Congo na si Congo nzima.Sababu kubwa ni miundo mbinu mibovu usafirishaji ndani ya Congo na misitu mizito hivyo ni ni nafuu kwa mizigo ya Eastern Congo( miji ya Lubumbashi, kivu, Goma na mingine) kupitia Dar kuliko kupitia Atlantic Ocean (Matadi port).Hakuna mizigo inayokwenda Kinshasa na miji ya huko west inapita Dar