Kwanini consultancy company zipo?

Kwanini consultancy company zipo?

IPILIMO

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
1,819
Reaction score
801
Hello, natumaini wengi wetu tuko na amani, tuko salama, Pole kwa wagonjwa wote popote Tanzania na nje pia!!

Nataka kusema kidogo sana juu ya kwanini Consultancy firm zipo. Nazungumzia kampuni au hata washauri waelekezi binafsi katika nyanja mbalimbali za kimaendeleo. Hata humu JF mara nyingi tu naona THREADS za kampuni zenye mlengo huu. Imani yangu kuwa hao wote wako vema tu na wanatumia fursa na weledi walionao ili kutaka kusogeza gurudumu la maendeleo lao wenyewe, wateja wao na taifa kwa ujumla.

Kwangu mimi naona sababu za kuwepo wadau hawa wa maendeleo ni kama ifuatavyo, na ruksa kuongezea unazofikiri pasipo kuwa na mtazamo hasi juu yao, kwakuwa inawezekana wengine wana leta shidaaaa!!

  1. Ni harakati za kujiajiri na kuajiri wengine (hasa kwa registered firms)
  2. Ni fursa ya kurahisisha pilika za kimaisha kwa watu wengine- mf kuokoa muda nk
  3. Husaidia ufanisi katika kufanikisha mikakati ya kimaendeleo (hata kama mteja ana ufahamu kiasi)
  4. Husaidia kuleta ukombozi wa fikra (hasa wanao toa stadi na mafunzo ya muda mfupi)
  5. Husaidia kuibua Fursa mpya za kimaendeleo
  6. Husaidia kupunguza usumbufu wa baadhi ya mamlaka (mf chukulia masuala ya sheria nk)
Hizi ni baadhi tu ambazo sisi KIMI DEVELOPMENT CONSULT LTD huziona katika utekelezaji wa shughuli zetu.

Tuendelee kushirikiana, tembelea pia; KIMI DEVELOPMENT CONSULT LIMITED
 
7. Huongeza weledi katika kazi
9. Hutengeneza mtandao wa biashara miongoni mwa wateja wako wanaofanya biashara/kazi zinazotegemeana
10. Kujenga uelewa sahihi katika masuala mbalimbali
11. Usalama wa kazi na pesa ya mteja.
KARIBU ANJOA COMPANY LIMITED (BUSINESS CONSULTANCY COMPANY)
 
UMEONGEZA SAWA ANJOA, nanyi endleeni hivyohivyo kama tunavyoendelea, ipo siku Watanzania wataona hii FACT!
 
  1. To provide professional, timely and effective solution to the clients/customers.
  2. To provide expert technical advice on the establishment and maintenance of a particular problems

Enjoy our services, Starlink IT Consultancy, Website. www.Starlink.co.tz email. info@starlink.co.tz
 
Back
Top Bottom