Kwanini CRDB Bank haitumi tena taarifa za akaunti za wateja (Bank statements) tangu Januari 2024?

UPOPO

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2010
Posts
3,563
Reaction score
5,687
CRDB bank, bank statement kutumwa kwa wateja kila mwezi kwenye email zetu imekuwa tatizo tangu Januari 2024.

Huduma kwa wateja hawana majibu na ukiomba bank statement ya mwezi wanakukata kuwa umeomba. Embu tujuzeni CRDB what is going on kama huduma ndogo ndogo kama hizo mpaka nije au niandike email mniletee really?
 
Siyo CRDB tu. Hata NBC hivyo hivyo.

Wapo inconsistent sana.

Huna app ya SimBanking?

Kupitia hiyo unapata taarifa za kutosha kuhusu akaunti yako.
 
Hata kutoa hela account za watoto hawatoi taarifa kwa sisi wazazi wa hao watoto kujua hali halisi ya matumizi ya watoto wetu! Hawatumi au kutoa taarifa za miamala
 
Natamani wahusika wa Jamii forum wangekuwa wanaweka uzi /thread za hizi bank kama ile ya Tannesco ili tuwe tunaweka malalamiko yetu iwe kama TANESCO.
 
CRDB bank, bank statement kutumwa kwa wateja kila mwezi kwenye email zetu imekuwa tatizo tangu Januari 2024.

Huduma kwa wateja hawana majibu na ukiomba bank statement ya mwezi wanakukata kuwa umeomba. Embu tujuzeni CRDB what is going on kama huduma ndogo ndogo kama hizo mpaka nije au niandike email mniletee really?
Bank statement ukiomba unakatwa kiasi gani?
 
Hii imeanza kabla ya mkutano mkuu wa mwaka huu. Kabla ya hapo pesa 15000 zinakatwa kwenye akaunti bila maelezo yoyote. Je ndiyo hiyo iliyotumika kugharamia "Imbeju" ? :AYOOO:
 
Bank statement ukiomba unakatwa kiasi gani?
Hawatumi tena kupitia email ,so ukiendq kuomba statement wanakukata wakati angalau kila mwezi wanatakiwa wakupe bank statement mara moja bila malipo.Bank.zote zinatuma bank statement nilizonazo isipokuwa CRDB shame on them bank kubwa lakina inashindwa vitu vidogo
 
Back
Top Bottom