Siyo CRDB tu. Hata NBC hivyo hivyo.CRDB bank, bank statement kutumwa kwa wateja kila mwezi kwenye email zetu imekuwa tatizo tangu Januari 2024.
Huduma kwa wateja hawana majibu na ukiomba bank statement ya mwezi wanakukata kuwa umeomba. Embu tujuzeni CRDB what is going on kama huduma ndogo ndogo kama hizo mpaka nije au niandike email mniletee really?
Bank statement ukiomba unakatwa kiasi gani?CRDB bank, bank statement kutumwa kwa wateja kila mwezi kwenye email zetu imekuwa tatizo tangu Januari 2024.
Huduma kwa wateja hawana majibu na ukiomba bank statement ya mwezi wanakukata kuwa umeomba. Embu tujuzeni CRDB what is going on kama huduma ndogo ndogo kama hizo mpaka nije au niandike email mniletee really?
Hawatumi tena kupitia email ,so ukiendq kuomba statement wanakukata wakati angalau kila mwezi wanatakiwa wakupe bank statement mara moja bila malipo.Bank.zote zinatuma bank statement nilizonazo isipokuwa CRDB shame on them bank kubwa lakina inashindwa vitu vidogoBank statement ukiomba unakatwa kiasi gani?