Mimi si mtaalam wa mambo ya hisa lakini ukiangalia Bei ya hisa moja ya CRDB ni Tsh. 370 wakati Bei ya hisa moja ya NMB ni Tsh. 2,920.Benki ya CRDB ni moja kati ya benki kubwa hapa nchini. Kitu nisichoelewa kutoka benki hii ni sababu zinazoifanya benki kutangaza gawio kiduchu mara inapoatangaza ukifananisha na banki za ukubwa wake kama NMB?
Je inaweza kuwa ni sababu ya benki kuwa na expenses kubwa ambazo zikipunguzwa wanahisa wanaweza kufaidika zaidi?
Waulize crdbBenki ya CRDB ni moja kati ya benki kubwa hapa nchini. Kitu nisichoelewa kutoka benki hii ni sababu zinazoifanya benki kutangaza gawio kiduchu mara inapoatangaza ukifananisha na banki za ukubwa wake kama NMB?
Je inaweza kuwa ni sababu ya benki kuwa na expenses kubwa ambazo zikipunguzwa wanahisa wanaweza kufaidika zaidi?
Kama hujui kaa kimya waachie wanaojua wachangie! Hulazimishwi kujibu!Waulize crdb
Safari hii shs. 36 per share! Hata hivyo wakipunguza costs zao kwenye operations watapata faida kubwa itskayowawezesha kulipa gawio zaidi ya hizo walizolipa!Mwaka huu wanatoa 32Tsh tofauti na mwaka jana ilikua shilingi 22. Kama sikosei.View attachment 2226758