Kwanini CRDB wanamadirisha mengi kuliko idadi ya Cashers? Muda wooote matawi yoote huwa foleni ni nd

purtpurt

Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
38
Reaction score
6
ImageUploadedByJamiiForums1398150618.925294.jpg
 
Mkuu hii ni biashara kama biashara nyingine.

Si hata ukienda TIGO/VODA peak hours inabidi usimame foleni.

Au kile kibanda chako cha Tigo Pesa si huwa wanasimama wakati mwengine foleni kwanini huwezi wafanyakazi 3?🙂
 
Hapo kaka ni jirani kwa Meneja wao Mkuu! Ostrebay Branch! Karibu na Coco Beach
 
Mkuu hii ni biashara kama biashara nyingine.

Si hata ukienda TIGO/VODA peak hours inabidi usimame foleni.

Au kile kibanda chako cha Tigo Pesa si huwa wanasimama wakati mwengine foleni kwanini huwezi wafanyakazi 3?🙂
kuna haja gani ya kuweke madrisha kibao wakati hayatumiki?
nilienda branch moja madrisha 10 matatu ndio yanafanya kazi
 
Back
Top Bottom