Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣 aisee.Sasa unataka ununue CROWN ATHLETE kwani unaenda kwenye mashindano ya magari?
Mbona mimi naona mengi magari mengi yanayouzwa ni Athelete na si royal saloon kama unavyosema??Nimepitia pitia akaunti mbalimbali za mitandao mingi inayouza magari ya mkononi, jambo ambalo sijaelewa ni kwamba magari mengi ya aina ya Crown yanayouzwa ni Yale CROWN ROYAL SALOON. Siyaoni sana CROWN ATHLETE sababu ni nini?
Crown nyingi ni athlete,Nimepitia pitia akaunti mbalimbali za mitandao mingi inayouza magari ya mkononi, jambo ambalo sijaelewa ni kwamba magari mengi ya aina ya Crown yanayouzwa ni Yale CROWN ROYAL SALOON. Siyaoni sana CROWN ATHLETE sababu ni nini?
Gharama hiyo ni sh ngap?Crown athletic ina gharama sana hazina soko...
Na kuongezea tu hapo, pia athletic ina sunspension future inayozifanya kua stiff na kuiwezesha kufanya manouvre at high speed.Same Engine Same body tofauti ni kuwa Crown Athlete ipo more sexy and aesthetic iko equipped na rim zenye mvuto zaidi kuliko za Royal Saloon. Tail lights za athlete zipo more attractive ni gari ambayo demu wako akipandishwa tu lazma akaliwe.
Royal saloon ndio gari za wale wazee wanaopenda Sedan nzuri na liko comfortable zaidi na trimmed with wood furnish ndani na cream leather seats.
Halina mvuto sana kwa nje kama athlete ndio maana hata vijana wanapendelea sana athlete kushinda hilo li Royal saloon.
Hakika stiff suspension ni nzuri kwa sport movesNa kuongezea tu hapo, pia athletic ina sunspension future inayozifanya kua stiff na kuiwezesha kufanya manouvre at high speed.
GRS204 inapendezaGRS200...au GRS204...on to the next one
GRS204 mnyama mkali sana..A.K.A the Japanese Benz...😁😁😁 hapo uwe umetoka zako makambako kuitafuta mafinga...au umemaliza kona za iyovi kuitafuta comfort aiseeeGRS204 inapendeza
Na gari ukiwa ndani husikii mivumo ya nje. Imetulia na sio nje hata nje inaweza paki nyuma ya mtu na asisikie.GRS204 mnyama mkali sana..A.K.A the Japanese Benz...😁😁😁 hapo uwe umetoka zako makambako kuitafuta mafinga...au umemaliza kona za iyovi kuitafuta comfort aiseee
Hakika stiff suspension ni nzuri kwa sport moves
Sijui aliwafanyaje mods,kila wiki lazima wampe ban 😀Dah!
Mzee baba ushakula ban