zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,217
wewe kifua chako kikoje?
Wana jf,hili nimekuwa nikiliwaza sana ni wadada wachache sana ambao unaweza kuwakuta na vifua vyao halisi na vinapendeza...wengine yaani kama ana watoto wa nne vile, kumbe hata ujauzito hajawahi kubeba...wenye lolote embu mnijuze.
Dah!!!
Maneno kama haya ndo yanawafanya wadada wa watu wajifeel inferior na kuanza kukimbilia dawa za mchina!!