Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
Nicas Mtei wengine huwa tunajikubali tulivyo....... mpendwa wangu na ndiyo maumbile menyewe hayo!!vp kuhusu wewe Kipipi?
Dah!!!
Maneno kama haya ndo yanawafanya wadada wa watu wajifeel inferior na kuanza kukimbilia dawa za mchina!!
Niliwaambieni chit chat ni mabongolala mkatoka mapovu....sasa angalieni kiwango cha kufikiri cha huyu bongolala zubedayo_mchuzi
Kifua cha mwanamke kinakuaje mpaka unasema kimechoka?
hayo ni maumbile tu ni sawa sawa na yale maumbile mengine ukiyaona utafikiri ana miaka 50 kumbe ndio kwanza msichana..
Leo humu ni mithusi tu,
ngoja nienda jukwaa la siasa nikale tu ban.
inaonekana we ni bingwa wa kuwafunua wadada zako (referring to the thread) vifuani. Imo ni maumbile tuu, coz wengine hata baada ya kuzaa bado ni dede, lol.
na wale ma dr mabingwa wa magonjwa ya wanawake ambao ni wanaume utawaitaje