Ni kweli aisee mda wa kukaa shule upungue
Life span ni ndogo ,changamoto ya ajira ni kubwa vijana wanashidwa kuishi na kuchelewa kuoa na kuolewa mwisho watazaa mtoto mmoja au wawil tayr washazeeka kuwatunza inakuwa changamoto na hivyooo umaskin unaendelea kizazi hadi kizazi
Ukweli ni kwamba kuna vijana washafika 30+ wanasubr ajira ili waweze kuanzisha familia na zinavyochelewa na wao wanachelewa kujipanga ,elimu wanazo lakin hazina manufaa mtaani