Kwanini Deni la Serikali limepaa kwa mwezi mmoja (Juni 2024) kwa zaidi ya Trilioni 17? Tatizo ni nini?

Kwanini Deni la Serikali limepaa kwa mwezi mmoja (Juni 2024) kwa zaidi ya Trilioni 17? Tatizo ni nini?

DR Mambo Jambo

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Posts
11,622
Reaction score
26,005
Habari za Usubuhi Wananchi wenzangu.

MARCH 28,2024 Deni Lilikuwa 82.25 TRN kufika JUNE 04,2024 tukalipa 8.48 TRN i.e 82.25 - 8.48 = 73.77 TRN

Nilitegemea baada ya Kulipa Hiyo tarehe Nne ambayo Ni wiki Iliyopita Deni Leo Liwe Trilion 73 ila kwa Wiki Moja Deni Limefire Up kwa Zaidi ya Trilion 20.

Hizo Trilioni 20 Zimetoka wapi kwa sababu deni la Serikali as per JUNE 13,2024 Deni 91 TRN

Hizo 20 or 17 Trilioni zimetoka wapi?

20240614_141334.jpg

20240614_141336.jpg

20240614_141338.jpg
 
Habari za Usubuhi Wananchi wenzangu..

MARCH 28,2024 Deni Lilikuwa 82.25 TRN kufika JUNE 04,2024 tukalipa 8.48 TRN i.e 82.25 - 8.48 = 73.77 TRN

Nilitegemea baada ya Kulipa Hiyo tarehe Nne ambayo Ni wiki Iliyopita Deni Leo Liwe Trilion 73 ila kwa Wiki Moja Deni Limefire Up kwa Zaidi ya Trilion 20...

Hizo Trilioni 20 Zimetoka wapi??
kwa sababu deni la Serikali as per JUNE 13,2024 Deni 91 TRN

Hizo 20 or 17 Trilioni zimetoka wapi??
View attachment 3017219
View attachment 3017220
View attachment 3017221
🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄
 
Tatizo ni katiba.tumerithisha lijitu ambalo halina maarifa na uzoefu wa kusimamia rasilimali matokeo yake imekuwa mahawala wake wanakuja kuchuma Mali na kuingia mikataba ya kuyafaidisha me yeye ambayo ni kichaa tu wa kukubali hiyo.
 
Habari za Usubuhi Wananchi wenzangu..

MARCH 28,2024 Deni Lilikuwa 82.25 TRN kufika JUNE 04,2024 tukalipa 8.48 TRN i.e 82.25 - 8.48 = 73.77 TRN

Nilitegemea baada ya Kulipa Hiyo tarehe Nne ambayo Ni wiki Iliyopita Deni Leo Liwe Trilion 73 ila kwa Wiki Moja Deni Limefire Up kwa Zaidi ya Trilion 20...

Hizo Trilioni 20 Zimetoka wapi??
kwa sababu deni la Serikali as per JUNE 13,2024 Deni 91 TRN

Hizo 20 or 17 Trilioni zimetoka wapi??
View attachment 3017219
View attachment 3017220
View attachment 3017221
Kuna zile Tril 6 zimeongezeka mwezi huu mama alipoenda Korea
Au Umesahau mkuu
 
Mgalatia atakaeingia by 2025 au 2030 tutajuta Kwa kibano kikali sana!!

Hali inatisha mno!
Amini maccm Wakiona mambo magumu, wameishauza Kila kitu. Hawana pa kukopa na hawakopesheki, watajifanya waungwana na waupenda demokrasia watawaachia wapinzani serekali choka mbaya
 
Amini maccm Wakiona mambo magumu, wameishauza Kila kitu. Hawana pa kukopa na hawakopesheki, watajifanya waungwana na waupenda demokrasia watawaachia wapinzani serekali choka mbaya
Kule YouTube Kuna mmoja kishasema kwamba 2035 upinzani ndio unaweza kuchukua nchi!

Kwa Kasi hii ni rasmi watachukua nchi wakati mali zimeisha Cha msingi wapinzani waidai Tanganyika irudi ili ikisharudi automatically mikataba yote itakua batili na kusainiwa upya coz yote inesainiwa Kwa nembo ya jamhuri ya muungano na sio kwa nembo ya Tanganyika!!!

Majasusi waingie mzigoni wahakikishe Tanganyika inarudi Ili kuwabana wazungu na waarabu kwenye mikataba ya rasilimali!
 
Wapumbavu walikuwa wanamtukana Magufuli, ila muda unawaumbua
 
Back
Top Bottom