DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄Habari za Usubuhi Wananchi wenzangu..
MARCH 28,2024 Deni Lilikuwa 82.25 TRN kufika JUNE 04,2024 tukalipa 8.48 TRN i.e 82.25 - 8.48 = 73.77 TRN
Nilitegemea baada ya Kulipa Hiyo tarehe Nne ambayo Ni wiki Iliyopita Deni Leo Liwe Trilion 73 ila kwa Wiki Moja Deni Limefire Up kwa Zaidi ya Trilion 20...
Hizo Trilioni 20 Zimetoka wapi??
kwa sababu deni la Serikali as per JUNE 13,2024 Deni 91 TRN
Hizo 20 or 17 Trilioni zimetoka wapi??
View attachment 3017219
View attachment 3017220
View attachment 3017221
Hali inaogopesha sanaHii serikali imefeli
Kuna zile Tril 6 zimeongezeka mwezi huu mama alipoenda KoreaHabari za Usubuhi Wananchi wenzangu..
MARCH 28,2024 Deni Lilikuwa 82.25 TRN kufika JUNE 04,2024 tukalipa 8.48 TRN i.e 82.25 - 8.48 = 73.77 TRN
Nilitegemea baada ya Kulipa Hiyo tarehe Nne ambayo Ni wiki Iliyopita Deni Leo Liwe Trilion 73 ila kwa Wiki Moja Deni Limefire Up kwa Zaidi ya Trilion 20...
Hizo Trilioni 20 Zimetoka wapi??
kwa sababu deni la Serikali as per JUNE 13,2024 Deni 91 TRN
Hizo 20 or 17 Trilioni zimetoka wapi??
View attachment 3017219
View attachment 3017220
View attachment 3017221
Hali inatisha na kuogopesha kwa kweli.Mama kakopa akanunulia boda za uchaguzi serikali za mitaa, na nyingine kapeleka Zanzibar kujengea flyovers na shule za ghorofa.
Kwani Lile Ni Deni?Kuna zile Tril 6 zimeongezeka mwezi huu mama alipoenda Korea
Au Umesahau mkuu
Amini maccm Wakiona mambo magumu, wameishauza Kila kitu. Hawana pa kukopa na hawakopesheki, watajifanya waungwana na waupenda demokrasia watawaachia wapinzani serekali choka mbayaMgalatia atakaeingia by 2025 au 2030 tutajuta Kwa kibano kikali sana!!
Hali inatisha mno!
Kule YouTube Kuna mmoja kishasema kwamba 2035 upinzani ndio unaweza kuchukua nchi!Amini maccm Wakiona mambo magumu, wameishauza Kila kitu. Hawana pa kukopa na hawakopesheki, watajifanya waungwana na waupenda demokrasia watawaachia wapinzani serekali choka mbaya
Zile bado hazijapokelewa 🐼Kuna zile Tril 6 zimeongezeka mwezi huu mama alipoenda Korea
Au Umesahau mkuu