Kwanini Diamond anachukiwa kwa kufanikiwa?

Juma juxx

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2016
Posts
313
Reaction score
148
Wanajamvi,

Nasikitishwa sana na baadhi ya mashabiki na baadhi ya wasanii wakubwa kwa kuzidisha jitihada kumshusha kijana wawatu kwa hatua anazonipiga.

Hivi TZ tutabadilika lini na kuachana na mambo kama haya ambayo mwisho wa siku tutajikuta tunapoteza wote kabisa, yani TZ hata kwenye nominations za nje tusizione tena?

Tanzania kwanza jamani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…