fATA YAko mKuU
Pambana na haliyako kijana
SAWA MKUUWe mwenyewe ungekuwa unafata yako usingecomment kitu hapa
hahah umechelewa mkuu.Joverist nilitaka nikuwahie siti hapo ila nikachelewa...vipi MMU hatuendi Leo?
Nipo kwenye mpambano huoAnza wewe kwanza siyo mtoa mada
Inafahamika kuwa Zari ni mwanamke bilionea mkubwa Afrika mashariki na Afrika kwa ujumla lakini cha kushangaza hana bodigadi badala yake bodigadi anayetumiwa na Diamond ndio huyohuyo anatumiwa na Mond! Hii si picha nzuri. Ni bora kama hana uwezo Wa kumudu gharama za kulipia Mlinzi bora atembee hivohivo tu!
Sijui Huyo mwarabu akitembea na Zari au Mond wakati huohuo Mond au Zari atakuwa na na mlinzi yupi
Noma sana aseeeehahah umechelewa mkuu.
swali zuri sana, noja atakujibu.Sasa unatulalamikia sisi au serikali?