Kwanini Diamond nyimbo zake haziondolewi YouTube licha ya skendo za kukopi kopi?

IKIRIRI

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2018
Posts
2,734
Reaction score
3,023
Katika wasanii wana skendo nyingi juu ya wizi nyimbo ni Diamond Platnumz, lakini sijawahi kusikia zimeondolewa YouTube. Hali ni tofauti kwa Harmonize, nyimbo yake imeondolewa kabisa na uongozi wa YouTube.

Hii ikoje wadau wa musiki?
 
Nenda kawaambie wazitoe sisi Huku JF na YouTube wapi na wapi
 
Tupe list ya hizo copied songs tuzijue
 
Katika wasanii wana skendo nying juu ya wizi nyimbo ni diamond platinum,.
Lakini sijawahi kusikia zimeondolewa youtube.

Hali ni tofauti kwa harmonize nyimbo yake imeondolewa kabisa na uongozi wa youtube.
Hii ikoje wadau wa music?
we na diamond mna tofauti gani?
 
Katika wasanii wana skendo nying juu ya wizi nyimbo ni Diamond Platinumz, lakini sijawahi kusikia zimeondolewa YouTube.

Hali ni tofauti kwa Harmonize, nyimbo yake imeondolewa kabisa na uongozi wa YouTube.

Hii ikoje wadau wa musiki?
Anajua kula na vipofu
 
Izi nyuzi zimezidi umu za mond na konde asee tupumzisheni leteni nyuzi za pesa
 
Katika wasanii wana skendo nying juu ya wizi nyimbo ni Diamond Platinumz, lakini sijawahi kusikia zimeondolewa YouTube.

Hali ni tofauti kwa Harmonize, nyimbo yake imeondolewa kabisa na uongozi wa YouTube.

Hii ikoje wadau wa musiki?
Diamond aliongea na mwenye wimbo, so amecopy kihalali
 
Katika wasanii wana skendo nying juu ya wizi nyimbo ni Diamond Platinumz, lakini sijawahi kusikia zimeondolewa YouTube.

Hali ni tofauti kwa Harmonize, nyimbo yake imeondolewa kabisa na uongozi wa YouTube.

Hii ikoje wadau wa musiki?
 
Diamond huomba kibali cha kutumia beat.yule Jamaa na mameneja wanaojielewa
 
Hakuna Mameneja pale ni Machawa tu, Jamaa ndo Kila kitu yupo Smart sana..
Na kweli hawa mameneja labda slam kiasi ila mengine ni IQ ya mondi ndo inafanya kazi.Huyu mondi ni CEO haswaaa japo hajasomea class,nikiangalia kundi la watu wanaotegemewa na familia zao wanavyo ongozwa kiprofessional,nazidi kumkibali sanaaa.

Watu na degree zao mule wanashauri na wanasikizwa mwisho wa siku Industry inakua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…