NgerukeAbra
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 1,336
- 2,008
Diamond hakualikwa kwenye huo msiba!!!Hello.
Kwanini Diamond platnumz na Timu yake ya Wasafi ikiundwa na Zuchu,lavalava imeonekana Wanajitenga sana na wasanii Wenzao sio kwenye misiba wala sherehe.
Au ndo masharti ya mganga wao.
Diamond Hajaonekana kwenye msiba wa Gadner G habash.
Ni kwa sababu hakupata mualiko😂😂😂😂Hello.
Kwanini Diamond platnumz na Timu yake ya Wasafi ikiundwa na Zuchu,lavalava imeonekana Wanajitenga sana na wasanii Wenzao sio kwenye misiba wala sherehe.
Au ndo masharti ya mganga wao.
Diamond Hajaonekana kwenye msiba wa Gadner G habash.
Mama kufika nayo haitoshi? Anyway mambo yenu wasanii mnayajua zaidi ila kwa kawaida mtu akiwakilishwa na mama mzazi naona ina uzito kwa wafiwa kuliko meneja wake.naona walimtuma mama dangote kuwakilisha.
sema jamaa kuna mda nao wana mashauzi sana, kama ni swala la ustaa, basi wangetuma hata managers wao walete salamu kwa niaba yao, angalau kuonesha kushirikiana na wengine kwenye majonzi na furaha, sio kujiona superbrand, hutak kuonekana public burebure, na sisi wote ni wa tz na matukio kama haya ndio huonesha thaman zetu kwa jamii.
Anajichukulia mnavyomuweka.Hello.
Kwanini Diamond platnumz na Timu yake ya Wasafi ikiundwa na Zuchu,lavalava imeonekana Wanajitenga sana na wasanii Wenzao sio kwenye misiba wala sherehe.
Au ndo masharti ya mganga wao.
Diamond Hajaonekana kwenye msiba wa Gadner G habash.
Ume andika Ujinga mtupu yaaniHello.
Kwanini Diamond platnumz na Timu yake ya Wasafi ikiundwa na Zuchu,lavalava imeonekana Wanajitenga sana na wasanii Wenzao sio kwenye misiba wala sherehe.
Au ndo masharti ya mganga wao.
Diamond Hajaonekana kwenye msiba wa Gadner G habash.
Hii dunia tunapita..!Diamond ni Super-brand hapa nchini, brand iliyotengenezwa kwa gharama kubwa na isiyofananishwa na yeyote yule, hivyo, hapaswi kwenda kwenye matukio hovyohovyo. Yeye kila appearance yake ni anaingiza hela, Je, akienda pale msibani watamlipa?
AlikuwepoAli Kiba umemuona?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nao wakakutane na Pdidy wajumuike pamoja na wcb
Jd alikuwa mke wake,huwezi fananisha na Dai tumia brain.Na Gadner alipiga nyimbo za Jd sana tuLady JayDee alikuwepo, maana yeye ndio alimuimba nyimbo za kumsimanga mpaka kafa.
Shida ya wabongo uswahili mwingiDiamond ni Super-brand hapa nchini, brand iliyotengenezwa kwa gharama kubwa na isiyofananishwa na yeyote yule, hivyo, hapaswi kwenda kwenye matukio hovyohovyo. Yeye kila appearance yake ni anaingiza hela, Je, akienda pale msibani watamlipa?
Ah simba la masimba dangoteWe zombie
Haujui
😂😂Ah simba la masimba dangote