Kwanini Diamond platnumz anajitenga sana na wasanii wenzie

Diva the bowse na mme wake walikwenda pale,na kuna wakati walisema kabisa wawakilishi kutoka wachafu media,akaenda Diva
 
Ila Ally kiba yuko humble sana Hana show off hata kuvaa misibani huvaa simple tu....Brand Brand mavi misibani.....
 
Hata kwenye msiba wa Mfanyakazi wake DODA SHAIBU hakuonekana kabisa maeneo hayo. alisema kwamba alikuwa Zambia japo alitakiwa kuwa na show yake sumbawanga jumamosi. uTAJIRI UNA SIRI KUBWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…