Kwanini Diamond Platnumz anavaa msalaba?

Je kama ni "Jumlisha"?
Kipi kimefanya useme ni msalaba?
Unaelewa msalaba ni nini?

Je, unajua kuwa asili ya msalaba siyo "Ukristo??"

Je, unajua kuwa YESU KRISTO hakubeba msalaba (+) bali alibeba nguzo (I)?

Je, unajua kuwa kanisa la KWELI la MUNGU halitumii "msalaba" maana asili ya msalaba (+) ni upagani?

Ukijua hayo hutaona ajabu kwa Diamond Platinumz kuvaa msalaba.
 
Andiko lipi linasema Yesu hakuangikwa msalabani?

Nakubaliana na wewe kuwa asili ya msalaba siyo ukiristo, lakini Yesu Kristo alisulubiwa Kisha akaangikwa msalabani.

Maana ya msalaba Ni mihimili miwili inayokinzana.

Jumlisha pia Ni sehemu ya alama ya msalaba ( rejea red Cross n.k)
 
Hizi dini hizi, sema wewe ndivo unavoamini na hiyo ndo kweli yako.
Mi naamini Yesu alibeba msalaba sio nguzo wala mti kama baadhi ya madhehebu yanavodai.

Mwisho.
 
Je kama ni "Jumlisha"?
Kipi kimefanya useme ni msalaba?
πŸ˜‚πŸ˜‚ Bonge moja la point japo limekaa kiutaji utani hivii.
Ni kweli kabisa mkuu what if diamond anaamini huo si msalaba ni jumlisha.

Na kuna ule wimbo mwishoni anakwambia jua tutofautisha kati ya msalaba na jumlisha.
Mleta mada umejuaje kua huo ni msalaba na sio jumlisha??
 
vipi kama yesu alibeba jumlisha ila watu wakatafsiri tofauti?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…