Kwanini Diamond Platnumz anavaa msalaba?

Je kama ni "Jumlisha"? Kipi kimefanya useme ni msalaba?
Mbona rahisi tu kujua. Huo ni msalaba. Kumbuka alama ya + haina urefu upande. Iko sawa juu chini,kushoto,kulia. Tofauti na msalaba kuna nguzo ndefu kuliko zingine
 



Msalabani pia ni ishara ya freemason.
 
Huo "ukweli" unaouamini ndiyo upotoshaji wenyewe wa ibilisi, hicho kigiriki hakiwezi kubeba tafsiri ya mwanzo ya matukio ya kibiblia kwa kuwa lugha muhimu ya kibiblia Ni kiebrania ( Hebrew) na siyo kigiriki Cha Athens!
 
Ule msalaba wa Yesu aliobeba ulikaaje ,na kwanini Kama alama ya msalaba haimaanishi hivo kwanini makaburi ya waislam na wapagani na dini zingine hayawekwi msalaba ?
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Duh..! Hicho Kigiriki kiliandikwa na Mgiriki gani unayemuamini kiasi hicho? Unajitoa ufahamu kama una solid proof za ukweli wa hizo hadithi za kale.
Kazi kweli kweli.
 
Msalabani pia ni ishara ya freemason.
Acha Umbea kijana wa Mudy. Ishara ya nadharia ya Freemason ni Msalaba uliogeuzwa (Ant-Christ cross) Wanasema uliokengeukwa/wanageuza ukweli wa ushindi wa Yesu Kristo kuwa kinyume chake AU msalaba wenye alama ya + yaani jumlisha uliokatika katikati na wenye maandishi.

Ukiona hao Freemasons wanatumia msalaba halisi wa kikristo ujue kuna maandishi yao pale katikati.

Sawasawa???
 
Nini kinakufanya utuaminishe kuwa unachosema wewe ndio facts?
 
Maneno meengi lakini PUMBA
 
Ukiona hao Freemasons wanatumia msalaba halisi wa kikristo ujue kuna maandishi yao pale katikati.


Sasa unapinga nini na unakubali nini???!!

Mimi nimesema msalaba ni alama ya Freemason, wewe umezidi kufafanua kwamba ni Msalaba HALISI wa KIKRISTO na wameweka maandishi yao katikati, cha ajabu hujasema ni maandishi gani hayo.

Kwa kukusaidia, huo msalaba wa Freemason sio MSALABA HALISI wa kikristo bali ni msalaba wao waliouwekea maandishi yao (kama ni kweli) ili kuutofautisha na misalaba mingine mfano; Red cross, msalaba wenu wa kikristo, alama ya jumlisha nk. Na hapa nitapenda Wakristo wenzako wakupe majibu zaidi.


Siku nyingine kabla hujajibu hoja jaribu kutafakari vya kutosha.
 
Kijana wa Mwamedi unatapika nyongo isiyo na rangi ujue
 
Because he can
 
Galatians 3:13(ESV)
Christ redeemed us from the curse of the law by becoming a curse for us—for it is written, “Cursed is everyone who is hanged on a tree"
 
Ngoja nimwambie hapa next time aanze kuvaa alama ya kugawanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…