figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Salaam wakuu
Tuongee ukweli, Nasib analalamika eti wakina Konde Boy hawana fadhila kisa kujitoa kwenye lebo yake. Je, yeye alipojitoa kwa Bob Junior akaondoka na jina lake, alilipa nini?
Nimemsikiliza sana Raheem Kibega. Ana hoja, Bob Junior(Raheem) mmiliki wa Sharobaro Records Wasafi, ilizaa Wasafi Classic Baby ambayo ndiyo ya Diamond. Hajawahi mlipa chochote Bob Junior. Kwanini anataka Konde na Rayvanny wamlipe?