figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Mkataba kati ya sharobaro records na diamonds unasemaje?,tuanzie hapo kwanza,maana mikataba kati ya kondeboy,rayvan,Richmavoco,mboso na wasafi media inajurikana,ipo wazi,kila unachozalisha 40%inakwenda kwa kampuni,wasafi,aDiamond!!hii ni biashara sio ushikaji!!tuache porojo!Salaam wakuu
Tuongee Fact. Nasib analalamika eti wakina Konde Boy hawana fadhira kisa kujitoa kwenye rebo yake. Je, yeye alipojitoa kwa Bob Junior akaondoka na jina lake, alilipa nini? Nimemsikiliza sana Raheem Kibega. Ana hoja,
Bob Junior(Raheem) mmiliki wa Sharobaro Records Wasafi, ilizaa Wasafi classic Baby ambayo ndo ya Diamond. Hajawahi mlipa chochote Bob Junior. Kwanini anataka Konde na Rayvanny Wamlipe?
View attachment 2377991
Mkataba wa bob(sharobaro) na mond ulikuwa unasemaje endapo mond angesepa?Salaam wakuu
Tuongee ukweli, Nasib analalamika eti wakina Konde Boy hawana fadhila kisa kujitoa kwenye lebo yake. Je, yeye alipojitoa kwa Bob Junior akaondoka na jina lake, alilipa nini?
Nimemsikiliza sana Raheem Kibega. Ana hoja,
Bob Junior(Raheem) mmiliki wa Sharobaro Records Wasafi, ilizaa Wasafi Classic Baby ambayo ndiyo ya Diamond. Hajawahi mlipa chochote Bob Junior. Kwanini anataka Konde na Rayvanny wamlipe?
View attachment 2377991
Sio fote mkuu ni sikste ndio inaenda wasafiMkataba kati ya sharobaro records na diamonds unasemaje?,tuanzie hapo kwanza,maana mikataba kati ya kondeboy,rayvan,Richmavoco,mboso na wasafi media inajurikana,ipo wazi,kila unachozalisha 40%inakwenda kwa kampuni,wasafi,aDiamond!!hii ni biashara sio ushikaji!!tuache porojo!
Hao sharobaro records Kuna pesa wanamdai Mond?kwanini hawafunguhi kesi??kama hakuna mkataba,hizo ni porojo tu za vijiweni
Alisaini naye mkataba? Wale hawalipi fadhila bali wananunua hisa zilizochini la label ili wawe wasanii huru.Salaam wakuu