Kwanini Diamond Platnumz hayumo top 20 ya wanamuziki matajiri Afrika?

Kwani Magufuli alipokuwa Rais Malori hayajawahi kukwama Bandarini!?
 
diamond ana 4m usd hapo mwisho no.20 ni 7m usd
 
Labda utajiri wake wa kweli haujulikani au investments zake anazofanya ndani na nje ya nchi ni ndogo sana. Baadhi ya wanamuziki wa Afrika wanawekeza hadi USA kwa kuwa na majumba kule na biashara, sidhani kama DP kafanya hivyo.
Imenishangaza Sana lakini ndiyo ukweli ulivyo. Yaani sijui wanatumia kigezo Gani kupanga hao wasanii matajiri!!??

Yaani Diamond hajafikia kuwa na ukwasi wa kutosha kuwa kwenye Orodha ya wanamuziki 20 matajiri Afrika!??

View attachment 1782109
 
Kwani uchumi wa Tanzania unafanana na hizo nchi? Samatta yupo top 20 ya wacheza soccer wanaolipwa zaidi Afrika?

Uchumi wa nchi kama South Afrika, Nigeria na Misri umetuzidi mbali sana mkuu hao wapo connected sana na wazungu kuliko sisi.
 
Kwa Africa ni ngumu sana mtu kuweka info zake za vyanzo vya mapato,kwahiyo kuwa na data halisi ni changamoto...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…