Mdomo bakuli JF-Expert Member Joined Jan 7, 2017 Posts 3,442 Reaction score 7,007 May 12, 2021 #41 Mda ulotumia kuja kuandika uzi huu hapa ungeutumia kutafakari tu kuwa kwanini haumiliki na pengine hautakaa umiliki hata moja tu ya magari alonayo Diamond ingekusaidia sana hata kufikia kumiliki boda boda yako.
Mda ulotumia kuja kuandika uzi huu hapa ungeutumia kutafakari tu kuwa kwanini haumiliki na pengine hautakaa umiliki hata moja tu ya magari alonayo Diamond ingekusaidia sana hata kufikia kumiliki boda boda yako.
missyrose JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 3,014 Reaction score 7,361 May 12, 2021 #42 Tiwa hayumo? namkubali sana huyu dada