KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,794
- 9,075
Katika siku za hivi karibuni naona Dollar inazidi kuporomoka sijajua sisi tumepunguza importation au Shilling inazidi kuimarika au biashara imekuwa na mwelekeo mzuri watu hawafichi tena dollar?? Au Mama anaupiga mwingi maana hata TRA wamevuka malengo uchumi umekua kwa kwa aslimia 5%+
Hii ni kuonesha Serikali iliyopo madarakani inafanya kazi! Hebu wachumi waje watuahabarishe katika hili.
Hii ni kuonesha Serikali iliyopo madarakani inafanya kazi! Hebu wachumi waje watuahabarishe katika hili.