Kwanini Dr Slaa anatumia nguvu kudai KAtiba MPya??

Kwanini Dr Slaa anatumia nguvu kudai KAtiba MPya??

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2010
Posts
7,264
Reaction score
678
Chadema kupitia kwa Dr Slaa wanajianda kufanya maandamano kudai katiba na Ongezeko la umeme
je kwnini dR slaa anatumia nguvu kadai katiba?
Je anafaa kwenda jeshini maana ndo wanatumia nguvu wakiwa vitani
 
Wewe MS naona sasa wewe na wenzio mnazidi kuchanganyikiwa (angalia kwenye red), umeona wanajiandaa kudai Ongezeko la umeme?
Acha kukurupuka, kaa chini fikiri cha kuandika. Na bado hadi mtembee uchi barabarani mwaka huu.
 
jeykey angalia usipende kutumika sanaaaaaaa,utachoka mapemaaaaaaaa.
 
Mimi nawashangaa hawa wakina jeykey kwani maisha mtaani tunapigika wote tena wenyewe ndiyo wa kwanza kupiga mizinga.kama wote tuko mbagala mgao ni kwa wote hauchagui CDM,CCM,CDM,CCM Bs etc
 
Kwa sababu anawapenda watz (ukiwepo wewe na mwenzio malaria sugu )na anaitakia mema nchi yetu. UNA SWALI JINGINE????
 
kwa sababu

1. mimi ni mvuja jasho wa nchi hii
2.sitegemei kutoroka nchi hii
3.najua siku moja ntakufa na nataka kuwaachia wanangu Tanzania with possibilities
4.kwa kuwa Dr Slaa ni raisi wangu.. nitatii kila atakachosema,,, nitamfuata popote pale,,, na nitamuunga mkono kila mara..cha msingi ni uhai!
 
wakisema wewe ni mvunjifu wa AMani utakataa??
 
Kwa sababu ina hitajika haraka sana!

Na nguvu unazipima kwa kutumia kipimo gani?
 
wakisema wewe ni mvunjifu wa amani utakataa??

katika wavunjifu wewe ni wa kwanza si ujitambulishe sawaswa tujue status mamuluki wewe- slaa angetaka kutumia nguvu sasahivi tungekuwa kama ivory cost manake alishinda kwa asilimia 64% amesema mara nyingi hakuna aliyechukua hatua. Tunawaomba mjipange 2015 hatutakubali haya mapinduzi
 
Kwa sababu bila nguvu bwana zako wanaona hawezi kukubali tuandike katiba mpya. Unasikia?
 
Nguvu bado sijaiona au mnataka atumie nguvu?......Kawaambieni wanao watuma wale watu wanaakili sana wametugundua njama yetu, huko hatuji......Nguvu hapa haitumiki ila kwa hoja lazima Dr.awashinde tu.Mlitusubiri sana baada ya uchaguzi tuingie barabarani ili mtuue mkaishia kupigwa na vumbi tu! bado hamjajua watu mnao hangaika nao wamewashinda uwezo wa akili? amakweli nyie nivilaza........
 
Chadema kupitia kwa Dr Slaa wanajianda kufanya maandamano kudai katiba na Ongezeko la umeme
je kwnini dR slaa anatumia nguvu kadai katiba?
Je anafaa kwenda jeshini maana ndo wanatumia nguvu wakiwa vitani

Na wewe ni darasa la nne au ngumbaru? Kwenye red; CDM haipitii kwa Dr. Slaa, bali Dr.Slaa kupitia CDM, tena siyo CDM tu ni WATANZANIA WOTE tunaodai katiba mpya inayokidhi mahitaji ya wakati wa sasa na baadaye.

Kwenye pink;Tunapinga ongezeko la BEI ya umeme kwa sababu itapandisha kila kitu.
Kwenye blue; Anatumia Nguvu ya UMMA siyo yake Binafsi ambapo Serikali itatumia nguvu ya Dola (jeshi likiwemo)
Kwenye black; Dr. Slaa ana akili sana kuliko hao maDr wa kubumba ambao ligwalide liliwashinda. Vita anayoiongoza Dr. Slaa ina manufaa zaidi kwa Umma na Taifa kwa ujumla kuliko vita ya silaha na mabomu.

Kwa taarifa yako kadri siku zinavyokwenda ndivyo UMMA unavyozidi kuwa na hasira na wachakachuaji, siku ikifika hakuna wa kuwazuia wataamua vinginevyo! Dalili ziko wazi kabisa ni ngumbaru tu ambao hawazioni.
 
Kwa hiyo anayedai katiba ni Dr Slaa? Auto President bwana!!
 
Ni sera ya CHADEMA JUU YA KUUDA KATIBA MPYA .CCM WAMEDANDIA TU
 
mnaweza poteza mda kumuelimisha kilaza jeykey kumbe sio kosa lake ni kasumba ya vilaza wa ccm kuropoka wakitegemea kutoulizwa, hayo ya huyu ni yale ya makamba, wasila, chiligati, lukuvi na hata huyo mkuu wao. namkumbusha tu kuwa kaburi lao wanalichimba wenyewe na wataingia tu kwa icu waliopo ni mbaya
 
Back
Top Bottom