Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,264
- 678
Chadema kupitia kwa Dr Slaa wanajianda kufanya maandamano kudai katiba na Ongezeko la umeme
je kwnini dR slaa anatumia nguvu kadai katiba?
Je anafaa kwenda jeshini maana ndo wanatumia nguvu wakiwa vitani
jeykey angalia usipende kutumika sanaaaaaaa,utachoka mapemaaaaaaaa.
Sio jingine, yeye Malaria Sugu huwa anasema"jengine" !!... UNA SWALI JINGINE????
kwa sababu
1. mimi ni mvuja jasho wa nchi hii
2.sitegemei kutoroka nchi hii
3.najua siku moja ntakufa na nataka kuwaachia wanangu Tanzania with possibilities
4.kwa kuwa Dr Slaa ni raisi wangu.. nitatii kila atakachosema,,, nitamfuata popote pale,,, na nitamuunga mkono kila mara..cha msingi ni uhai!
wakisema wewe ni mvunjifu wa AMani utakataa??
wakisema wewe ni mvunjifu wa amani utakataa??
Chadema kupitia kwa Dr Slaa wanajianda kufanya maandamano kudai katiba na Ongezeko la umeme
je kwnini dR slaa anatumia nguvu kadai katiba?
Je anafaa kwenda jeshini maana ndo wanatumia nguvu wakiwa vitani
Na wewe ni darasa la nne au ngumbaru? Kwenye red; CDM haipitii kwa Dr. Slaa, bali Dr.Slaa kupitia CDM, tena siyo CDM tu ni WATANZANIA WOTE tunaodai katiba mpya inayokidhi mahitaji ya wakati wa sasa na baadaye.
Kwenye pink;Tunapinga ongezeko la BEI ya umeme kwa sababu itapandisha kila kitu.
Kwenye blue; Anatumia Nguvu ya UMMA siyo yake Binafsi ambapo Serikali itatumia nguvu ya Dola (jeshi likiwemo)
Kwenye black; Dr. Slaa ana akili sana kuliko hao maDr wa kubumba ambao ligwalide liliwashinda. Vita anayoiongoza Dr. Slaa ina manufaa zaidi kwa Umma na Taifa kwa ujumla kuliko vita ya silaha na mabomu.
Kwa taarifa yako kadri siku zinavyokwenda ndivyo UMMA unavyozidi kuwa na hasira na wachakachuaji, siku ikifika hakuna wa kuwazuia wataamua vinginevyo! Dalili ziko wazi kabisa ni ngumbaru tu ambao hawazioni.