Huyu ni mchumia tumbo tu kama wengne,niachieni huyu mie namumudu,
Usimlaumu the Dr. ilaumu CDM kwa maana yeye anatumia nguvu ya CDM..ila msikilaumu CDM,walaumu watanzania kwa maana CDM kinatumia nguvu ya watanzania,na pia msiwalaumu Watanzani a walaumu mafisadi wenu kwa maana walikula na vipofu wakawashika mikono
saa hzi mnahaa ..na kweli hamna pa kwenda ni lazima tuwatie kati..Hata Martin Lutter King wakati huo wazungu hawakumwelewa ,walimwona anatumia nguvu nyingi...wewe na wenzako anzeni kuomba sasa