Kwanini DSTV wasituache wateja tujichagulie app za kuangalia tuzilipie?

Kwanini DSTV wasituache wateja tujichagulie app za kuangalia tuzilipie?

Jamaa Fulani Mjuaji

Senior Member
Joined
Jul 25, 2020
Posts
155
Reaction score
278
Mimi ni Mdau mzuri sana wa Movies na Series za Nje Hasa za KIMOMBO" na mpira hayo ndio mambo Yangu.

Nimekua mtumiaji wa DSTv Kwa miaka mingi tu lakini maboresho ya hapa karibuni miaka kama 5 Yanaumiza sana unalipia kifurushi cha COMPACT kwa mfano unakuta wamekujazia machannel ambayo wewe sio Mdau kabisa na wanakulazimisha Utazame wakina KANJIBAI na Baadhi ya "VITUKO" Vya kiBongo Ambavyo Ukiangalia unatamani Uzime TV toka Lini Kichekesho kikawa na Jina La mtukufu Rais Yaani mtu anachekesha huku anakera Kuna siku Kidogo nichomoe Decoder Kabisa kuna Channel nilijichanganya niko ngoja niangalie, kwa sasa nimeacha Kabisa kulipia Nafanya tu Subscription ya NETFLIX ili nipate movies nazopenda na Series Mpira naenda kuangalia BAR

Sasa nikawaza kwanini wasiniache nilipie tu SUPERSPORT CHANNEL na Channel kadhaa za Movie nazopenda na Series ili TakaTaka zingine Wawape wanaotaka Kuangalia UJINGA kama wa movie za Kibongo.

Naomba DSTV wajibu Hapa wanashindwa nini Kutuacha Tuchague CHANNEL za kulipia badala Ya kunijazia machannel ambayo siangalii
 
Back
Top Bottom