MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Juzi nilikuwa nafuatilia mjadala wa demokrasia ndani ya Al Jazeera, majina kadha wa kadha ya miamba ya upinzani yalikuwa yanatajwa cha ajabu hamna hata mara moja jina la Mbowe lilitajwa hata kwa bahati mbaya. Utasikia Chagulanyi, Miguna, Ingabire Victore, Odinga, Malema nk.
Sidhani kama dunia inamtendea Mbowe haki kumfanya kuwa mdogo kiasi hicho, Mbowe sio local kiasi hicho mpaka jina lake liweze kuishia kwenye gazeti la Raia Mwema na page ya Chadema in blood pale Facebook .
Tunataka kumuona Mbowe kwenye majarida na tv kubwakubwa ulimwenguni kama wenzake wakina Bobi Wine.
Dunia impe heshima mwenyekiti wetu.