Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Tunaweza kuliweka kisiasa na kiushabiki sana kuhusu silaha hatari za nyuklia kama kuongea kujifurahisha.
Silaha za nyuklia ni hatari sana kimatumizi na kama zikitumika zote tusitegemee kuwepo duniani.
Kuna aina nyingi za mabomu ya nyuklia na kila kukicha teknolojia inazidi kuongezeka.
Kama umebahatika kusoma makala ya bomu lilopigwa nagasaki na heroshima mtakuwa na vielelezo tosha kujua hatari yake.
Watu wengi wanajiuliza ilikuwaje mataifa yakafikia kuanza kuwekeana masharti mpaka kuogopana.
Ni ili la jaribio Tzar Bomba jaribio lilofanyika mwaka 1961 umoja wa kisovient USSR.
Jaribio kubwa la bomu Tzar lilipelekea mpaka kuyumbisha dunia baadhi ya mazingira kwenye dunia kama kuvuruga mawimbi ya redio AM mda wa dakika chache.
Mlipuko wa tzar uwezo wa kulipuka toka chini futi 13,000 na kipimo cha tetemeko 5 -5.25.tambua jaribio la tzar kwenye bomu ilipunguza vipimo asili. Kama lingetumika lenyewe likiwa kamili uwezo wa mega ton 100 sijui ingekuwaje.
Makadilio Tsar Bomba lilikuwa bomu la hidrojeni la hatua nyingi lenye takriban megatoni 50.
KWA DUNIA YA SASA TOKEA 1945-61
Mpaka leo ni teknolojia ngapi zilizoboreshwa kwenye mabomu kama haya yakiambatana na madini ya uranium,plutonium na utendaji wa gesi za kwenye mfumo wa atom za hydrogen.
HYDGROGEN
Inatajwa kuwa kilipuzi hatari ukilinganisha na milipuko TNT inayosababisha kufanya kazi kwa madini ya uranium au plutonium.
MADHARA YA MABOBU HAYA
yaliyotokea japan na milipuko yake ni kama
Uwezo wa bomu na ndio jaribio la mwisho.hakuna bomu lolote mpaka sasa ila kuna milipuko iliyotokea kipindi cha kinu cha umeme ussr huko Ukraine

- Kubadilisha DNA asili ya mimea na viumbe
- Kutengeneza au kubadilisha kemikali,chakula,mimea na n.k kuwa sumu au kupoteza mwendelezo.
- Saratani na mionzi mikali isiyokwisha.
- Hakuna mtu wa kumsaidia mwenzake wala matibabu maana redio active zitakuwa ni kali na hakuna kitu chochote kitakuwa msaada.