DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
East Africa radio wamegoma kucheza nyimbo za WCB lakini Leo hii nimewasikia wakipeperusha tangazo la Diamond Platnumz la Diamond Karanga huku wakilipa promo kubwa sana..
Pia na Clouds Fm radio wanalipeperusha sana tangazo hilo.
Watangazaji wa radio kama akina Dullah ndio wanarudisha muziki nyuma kwani wanapenda kuabudiwa pia na akina Adamu Mchomvu na B-Dozen.
We Dullah wa East Africa radio punguza ushamba maana ushazeeka.