Kwanini EA Radio na Clouds Fm bado wanatangaza Diamond Karanga?

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
East Africa radio wamegoma kucheza nyimbo za WCB lakini Leo hii nimewasikia wakipeperusha tangazo la Diamond Platnumz la Diamond Karanga huku wakilipa promo kubwa sana..

Pia na Clouds Fm radio wanalipeperusha sana tangazo hilo.

Watangazaji wa radio kama akina Dullah ndio wanarudisha muziki nyuma kwani wanapenda kuabudiwa pia na akina Adamu Mchomvu na B-Dozen.

We Dullah wa East Africa radio punguza ushamba maana ushazeeka.
 

Tz hatuna redio presenter wenye uelewa na waliosomea kazi hizo. Tunayo mapoyoyo tu. B12 na Adam baada ya kufeli form 4 wakapata shavu clouds FM. B12 aliaanza arusha. Huyo dulla ndiyo kimeo sana tu.

Bado tuna safari ndefu sana. Kinachowauma ni wao kuendelea kuwa maskini huku Diamond akichanua.
Huwa nashangaa sana mwanaume anapotumia wivu kumuharibia MTU. Media na wadau wa muziki hawakujiandaa kuwa na msanii Mkubwa..wanataka wanyenyekewe kila siku..yaani diamond akienda MTV kuperporm na wenyewe wapewe tickets ndiyo wafurahi.

Yule Ruge anajionaga akili kubwa but hamna kitu..ana wivu wa kitoto sana.
 
I think thats oveeeeeeeer
 
Ila ukweli kuna baadhi wana roho za ajabu sana unaanza kumchukia mtu kwa mafanikio yake tena kijana wa kawaida kabisa aliye hustle kama Diamond ni kosa
Anyway huwa sisilikilizi clouds wala EA radio ila Sikomi naijua
 
Kwanza ujue karanga c zake na zinalipa bill ya kuwa promoted...kusaga mwenye clouds ndo mwenye karanga hizo sema hapo kuna agreement kat yake na mond... Last kusaga tajiri sana sema atak tujue
 
SINA UHAKIKA KAMA WCB WANA BIFU KWELI NA HIVI VITUO AU NI MITANDAO TU INAZUSHA SABABU MBONA KINA SOUDY BROWN WANAENDAGA OFISI ZA WCB BILA TATIZO? NA MPAKA LEO SIJAWAHI KUSIKIA HATA UPANDE MMOJA UKIKIRI KWAMBA WANA BIFU.ILA WIKI ILIYOPITA KWENYE KIPINDI CHA SHILAWADU SOUDY BROWN ALISEMA HAWANA BIFU NA MTU NA WALA HAWANA TEAM NA NDIO SABABU KWENYE HARUSI YA SHILOLE WALIMFUATA HARMONIZE NA DIAMOND KUWAHOJI.
 
Kwanza ujue karanga c zake na zinalipa bill ya kuwa promoted...kusaga mwenye clouds ndo mwenye karanga hizo sema hapo kuna agreement kat yake na mond... Last kusaga tajiri sana sema atak tujue
Hata hizi dhambi za kijinga za kusema uongo unajichukulia kwa ufahari. Ni vema useme jambo ulilo na uhakika nalo.
 
Tangazo linalipiwa na Smart Industries Limited
Yeye Diamond katumika kama Brand
 
Akili za kuambiwa...
 
Well said....
 
Watu mnajua kupotosha, mara karanga si zake wakiulizwa za nani wengine wanasema za Kusaga wengine wanasema za wahindi wale wa Smart Duh yani hakuna mwenye vivid evidence ya kusema hizi ni za Fulani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…