Unaunga Mkono hoja wapi wewe Mutu ya Congo.Kama ukweli ndiyo huo basi naunga mkono hatua yao,maana kama tunawanyima information,tunawanyima kufanya research binafsi,tunakataza private organizations kutoa findings za research zao,sasa watajuaje kama ipo ama haipo? Na issue si ebola tu,hata wakati ule wa dr mwele na Zika serikali illibeba ile issue kwa kasi ya zimamoto,ile ya funika kombe,mtu yeyote angekuwa na mashaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Zaidi ya hayo Marekani siyo mbinguni, hakuna tunachopungukiwa kama Taifa kwa kutoenda Marekani.Marekani hio ni nchi yao, wana haki ya kuzuia au kuruhusu yeyote kuingia. Zuio lao isiwe issue kama kufa na kupona.
China walificha, daktari alietangaza kwa wenzie kuwapa tahadhari nae akaitwa na vyombo vya usala akasainishwa maelezo ya kukubali kusambaza taarifa zenye kuleta taharuki, akatishwa akaachiwa huru na sasa hautae duniani kaliwa na Coronavirus.Kw
ani China walificha taarifa za corona virus?
Hivi unaweza kuficha extremely contagious disease kama Ebola? Kivipi labda?Unaongea pointi kwa kweli. Ukifikiria tumepakana na DRC upande wote wa magharibi. Hivu kweli hakina mtanzania hata mmoja aliyepata hio ebola miaka yote hii inaua maelfu ya DRC? Itakuwa hakuna rekodi zao tu hao waathirika.
Nchi hii haiwez kuendelea kwa kuwa na raia sampuli yakoZaidi ya hayo Marekani siyo mbinguni, hakuna tunachopungukiwa kama Taifa kwa kutoenda Marekani.
Sana sana wametuepusha na kutembelea Taifa linalokumbatia uchafu wa ushoga ambao kwao unafichwa kwa neno LGBT!! Mashoga wanaitwa eti makundi maalumu!!
Kwa uchungu gani alionao kwa MTU mweusi,kwao tu wanawaua blacks kama hawana akili nzuri.China walificha, daktari alietangaza kwa wenzie kuwapa tahadhari nae akaitwa na vyombo vya usala akasainishwa maelezo ya kukubali kusambaza taarifa zenye kuleta taharuki, akatishwa akaachiwa huru na sasa hautae duniani kaliwa na Coronavirus.
Tanzania pia kweli tulikomaa sana kuficha taarifa ya wagonjwa walio hisiwa kuwa na Ebola, lakini Mungu mkubwa inaonekana ni kweli hawakuwa na Ebola.
Tatizo linakuja hawa wamarekani wanataka taarifa hizi haraka ili wawatishe wawekezaji na watalii.
Upande wa pili Marekani wapo sahihi sana, haya mambo ya kuficha taarifa kama hzizi yanaweza kusababisha kuchelewa kuchukuliwa hatua na kuchelewesha kupata misaada ya kitaalamu ya kudhibiti milipuko ya magonjwa hatari kama haya, mwisho tukajikuta na janga kubwa sana linolo weza kuuwa uchumi wetu kabisa.
Kuna mtu anatafutwa hapo mpaka apatikane.Tuwe wakweli. Umasikini wetu pia umetuponza. Wangepiga ban China na wenyewe wangepewa ban, matokeo yake biashara zingeyumba. Mbona China walificha sana coronavirus mpaka ilivyowashinda?
Kwa kuwa unaishi huko kama ulivyodai...unaunga mkono ujinga watanzania kama RAIA wanakosa lipi la kuunganishwa na nchi kama somalia na Eritrea bora useme labda uminywaji wa demokrasia lakini siyo mambo ya Ebola wewe lini Tanzania umesikia MTU kafa kwa Ebola au mambo ya kushambuliwa na magaidi serikali itangaze vitu visivyokuwepo kuwaridhisha mabwana wakubwa mambo mengine yanawalakini ukiangalia kiundani zaidi.Acheni conspiracy theories ndugy zangu. Hazina faida yeyote katika maisha zaidi ya kufanya watu kujiona ni victims tu siku zote.
Milipuko ya Ebola huko Congo walichukua hatua gani kama si kufurahia watu weusi wateketee wakajibebee mali na kuyapa makundi silaha yavuruge amani....Ebola ingekuwepo Humu nchini isingefichika MZEE wanataka kuzua taharuki tu..ungeniambia mambo ya demokrasia na Uhuru wa kujieleza ningeunga mkono lakini si mambo ya magaidi au Ebola.China walificha, daktari alietangaza kwa wenzie kuwapa tahadhari nae akaitwa na vyombo vya usala akasainishwa maelezo ya kukubali kusambaza taarifa zenye kuleta taharuki, akatishwa akaachiwa huru na sasa hautae duniani kaliwa na Coronavirus.
Tanzania pia kweli tulikomaa sana kuficha taarifa ya wagonjwa walio hisiwa kuwa na Ebola, lakini Mungu mkubwa inaonekana ni kweli hawakuwa na Ebola.
Tatizo linakuja hawa wamarekani wanataka taarifa hizi haraka ili wawatishe wawekezaji na watalii.
Upande wa pili Marekani wapo sahihi sana, haya mambo ya kuficha taarifa kama hzizi yanaweza kusababisha kuchelewa kuchukuliwa hatua na kuchelewesha kupata misaada ya kitaalamu ya kudhibiti milipuko ya magonjwa hatari kama haya, mwisho tukajikuta na janga kubwa sana linolo weza kuuwa uchumi wetu kabisa.
Sisi magonjwa mengi yanatupita juu kwa juu, hatujawahi kuwa na zika, ebola na huyu corona virus atakaemtaja mgojwa hata kama yupo cha moto atakipata. Mnataka watalii waache kwenda Rubondo!
Safi sana mkuu! Exposure ni kitu muhimu sana!WaTz USA Tupo wengi tu ndugu. Mimi naishi San Diego iliopo Southern California, na hapa tu ni mamia ya WaTz ninaowajua mimi. Bado kuna Los angeles, Riverside nk. Bado kuna majiji kama Houston, TX na ATL, Georgia ambapo kuna maeneo ni wabongo tupu wana restaurant zao za ugali, night clubs zao nk. Kwa hio ni community kubwa. Na tunatuma $$$ Tz na kuwekeza pia. Kwa hio uwepo wetu huku unatufunza mengi kupitia exposure, tunashika $$$, na kuwekeza home. Japo nyumbani ni nyumbani tu, na huku tuko ugenini kwa hio tunaelewa hilo.
China mwenyewe yuko hoi. Corona virus inamsumbua sana na impact yake ni mbaya hasa kwenye uchumiChina wangetuzuia ingekuwa tatizo kubwa sana huyo mmarekani aachane nasisi aendelee na wengine wanaofaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana ndugu. Hakuna lisilowezekana. Pambana kutimiza ndoto yako. Kwa sasa itakuwa ngumu kuliko zamani, lakini inawezekana. Ni kupambana pasipo kukata tamaa.Safi sana mkuu! Exposure ni kitu muhimu sana!
Kwa hili Wamarekani wamezima ndoto za akina sie wenye hamu ya kufika US.
Na mkiruhusu mashoga yajinafasi mtaona mambo yatakavyonyooka, dunia ya ibilisi hii..Zaidi ya hayo Marekani siyo mbinguni, hakuna tunachopungukiwa kama Taifa kwa kutoenda Marekani.
Sana sana wametuepusha na kutembelea Taifa linalokumbatia uchafu wa ushoga ambao kwao unafichwa kwa neno LGBT!! Mashoga wanaitwa eti makundi maalumu!!
Kuna point hapaKweli,unashangaa wanakosa sababu moja ya kueleweka Mara Ebola Mara sijui kushare taarifa unaona kabisa kuna kitu hapa kimeshapangwa....wanataka kutuvuruga kama Congo...ajabu kuna watanzania wanafurahia hawaangalii madhara kwa nchi zilizoharibiwa na US.
Kongo kuna ebola hawajsfungia wanalao jamboHatimaye Ikulu ya Marekani imetoa taarifa rasmi ya sababu za kuweka zuio kwa WaTanzania kusafiri kwenda Marekani. Zuio hilo lilitangazwa tarehe 31 January 2020 ambapo nchi 4 za Africa za Tanzania, Nigeria, Eritrea, na Sudan ziliwekewa zuio hilo. Kwa taarifa kamili soma ripoti inayosema "Proclamation on improving enhanced vetting capabilities and processes for detecting attempted entry" katika tovuti ya Ikulu ya Marekani (WhiteHouse.gov).
Naambatanisha baadhi ya maneno katika ripoti hio.
Swali: Hivi ni kweli Tanzania kulikuwa na Ebola na serikali yetu ikashindwa kushirikiana na nchi nyingine katika hilo? Mbona mimi sina habari hizo? Wenye habari kamili naomba mtujuze sababu kwa wengine hili suala ni kama giza tu na inaonekana tumeonewa kuwekwa katika orodha hio fupi ya nchi 6 zilizowekewa zuio hilo.
View attachment 1350277
Proclamation on Improving Enhanced Vetting Capabilities and Processes for Detecting Attempted Entry
(g) Tanzania
(i) Tanzania does not comply with the established identity-management and information-sharing criteria assessed by the performance metrics. Tanzania does not adequately share several types of information, including public-safety and terrorism-related information, that is necessary for the protection of the national security and public safety of the United States.
The Government of Tanzania’s significant failures to adequately share information with the United States and other countries about possible Ebola cases in its territory detract from my confidence in its ability to resolve these deficiencies. Tanzania also presents an elevated risk, relative to other countries in the world, of terrorist travel to the United States.
Tanzania does, however, issue electronic passports for all major passport classes, reports lost and stolen travel documents to INTERPOL at least once a month, and has provided exemplars of its current passports to the United States. Further, Tanzania does share some information with the United States, although its processes can be slow, overly bureaucratic, and complicated by limited technical capability.
In light of these considerations, different travel restrictions are warranted.
(ii) The entry into the United States of nationals of Tanzania as Diversity Immigrants, as described in section 203(c) of the INA, 8 U.S.C. 1153(c), is hereby suspended.
Proclamation on Improving Enhanced Vetting Capabilities and Processes for Detecting Attempted Entry | The White House
In Executive Order 13780 of March 6, 2017 (Protecting the Nation from Foreign Terrorist Entry Into the United States), I temporarily suspended entry of natwww.whitehouse.gov