Kwanini Elizabeth Michael "Lulu" ameamua Kuuza Nguo, Viatu Vyake?

Hapo ndipo tunapoona bora tuoe wanawake wa kenya tu majizzo anakazi ya kununua kabati zima la nguo m city


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nguo zina kumbukumbu nyingi sana
Na kila moja ina furaha na huzuni

Sent from my SM using Tapatalk
 
Sasa siagawe bure ...!! Kwani hakuna watu wenye uhitaji maalum ambao wanahitaji mavazi !?

Sent using Jamii Forums mobile app

Nilichojaribu kumuelewa sio kwamba hataki kuendelea kubaki na nguo zake, kinachofanyika ni kutumia fan base aliyonayo kuchangisha pesa atakayoipeleka kwa wenye uhitaji katika kipindi hiki cha Valentine.
Target yake sio kila mtu, bali mashabiki wake ambao wako tayari kununua kwa laki nne nguo inayouzwa elfu 15 pale kinondoni kwasababu tu watafeel wamemuunga mkono kipenzi chao.
Lakini pia kuigawa ile nguo kwa mwenye uhitaji haitakua na thamani sawa na kuiuza kwa mnada then kumpelekea chakula mwenye uhitaji.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ndipo alipoamua kujimaliza mwenyewe.
Angepelekea yatima kimya kimya, duniani imani imekwisha, iliwahi semekana msanii alyewahi muibia mwingine under wear na kaishia kimya kimya

Hata kama siamini uchawi ila upo.
 
Ndipo alipoamua kujimaliza mwenyewe.
Angepelekea yatima kimya kimya, duniani imani imekwisha, iliwahi semekana msanii alyewahi muibia mwingine under wear na kaishia kimya kimya

Hata kama siamini uchawi ila upo.
Kumbe nguo zimebeba mengi?
 
Walionunua kila wakifanya kamsala kadogo ,kituo cha kwanza kupelekwa ni kwa mjumbe .........implying mahakamani is loadin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…