Kwanini Eric Shigongo hatoi vitabu kama zamani?

Kwanini Eric Shigongo hatoi vitabu kama zamani?

benny gilbert

Senior Member
Joined
Jul 4, 2018
Posts
110
Reaction score
65
Ukiwa kama mwandishi mchanga unajifunza nini kupitia Eric Shigongo? Waandishi wengi wanatamani kutoa vitabu lakini hawajiuliza kwanini Eric Shigongo hatoi vitabu kama zamani, kuna siri gani?

Unaweza toa maoni yako kuhusu soka la vitabu vya hadithi kwa sasa na kwanini Eric Shigongo hatoi vitabu kama zamani?

karibuni wote kuchangia
 
Jamii forums inatosha! Akiandika mavitabu yake asome mwenyewe
 
Vitabu alivyotoa mpaka sasa1.
1. Damu na machozi
2. Rais anampenda mke wangu
3. Siku ya mwisho ya uhai wangu
4. Kifo ni haki yangu
 
Vitabu alivyotoa mpaka sasa1.
1. Damu na machozi
2. Rais anampenda mke wangu
3. Siku ya mwisho ya uhai wangu
4. Kifo ni haki yangu
Death is my right
The president loves my wife
Nadhani hapo aliuza nakala nyingi zilizo muingizia pesa sana
 
Back
Top Bottom