Mpinzire
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 7,503
- 13,463
Nashindwa kuelewa Europa League (Uefa ndogo) inakuwaje nusu fainali ina michezo mi4 badala ya miwili?
Kwa maana hii fainali wanaingia wangapi? Na bingwa anakuja kupatikana vipi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa maana hii fainali wanaingia wangapi? Na bingwa anakuja kupatikana vipi?
Sent using Jamii Forums mobile app