Hapo kuna europa league na Europa conference league, hiyo ni michuano miwili tofautiNashindwa kuelewa Europa League (Uefa ndogo) inakuwaje nusu fainali ina michezo mi4 badala ya miwili?
Kwa maana hii fainali wanaingia wangapi? Na bingwa anakuja kupatikana vipi?View attachment 2213110
Sent using Jamii Forums mobile app
Tofauti yake ni ipi na hiyo conference league imeanzishwa lini ?Hapo kuna europa league na Europa conference league, hiyo ni michuano miwili tofauti
Msimu huuTofauti yake ni ipi na hiyo conference league imeanzishwa lini ?
Umetumia kinywaji gani kabla ya kupost?Nashindwa kuelewa Europa League (Uefa ndogo) inakuwaje nusu fainali ina michezo mi4 badala ya miwili?
Kwa maana hii fainali wanaingia wangapi? Na bingwa anakuja kupatikana vipi?View attachment 2213110
Sent using Jamii Forums mobile app
Hali ya bidhaa kupanda ikiendelea hivi basi watu wengi watakuwa vipofu na matatizo ya akili yataongezekaNashindwa kuelewa Europa League (Uefa ndogo) inakuwaje nusu fainali ina michezo mi4 badala ya miwili?
Kwa maana hii fainali wanaingia wangapi? Na bingwa anakuja kupatikana vipi?View attachment 2213110
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji28][emoji23][emoji3]Kwamba timu unayotaka kubet unaiona mara mbili mbili [emoji1]
Kwa nchi ambazo zina point ya kuingiza timu nne Uefa champions league;Tofauti yake ni ipi na hiyo conference league imeanzishwa lini ?
Embu soma post namba 2 mkuu. Mbona watu wameshamjibuMpaka sasa hamjampatia jibu lakini mmeishia kumpiga mabango tu
Kwanini hiyo conference ligi imeanzishwaEmbu soma post namba 2 mkuu. Mbona watu wameshamjibu
Waulize UEFAKwanini hiyo conference ligi imeanzishwa
Lengo ni kuzipa vilabu wanachama wa UEFA wenye rank ya chini, nafasi ya kusonga mbele kimafanikio kutokana na kushindwa kufurukuta kwao kwenye Ligi ya Mabingwa na europa leagueKwanini hiyo conference ligi imeanzishwa
Asante hili ndo jibuLengo ni kuzipa vilabu wanachama wa UEFA wenye rank ya chini, nafasi ya kusonga mbele kimafanikio kutokana na kushindwa kufurukuta kwao kwenye Ligi ya Mabingwa na europa league
Kamjibu hivyo shemeji yakoWaulize UEFA