Kwanini FAM alibadilisha Katiba ya Chama Mwaka 2006 ili atawale milele na Kuondoa ibara ya 6.3.2 (C)

DR Mambo Jambo

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Posts
11,622
Reaction score
26,005
Mwaka 2006, Katiba ya Chadema ilifanya marekebisho yaliyoruhusu wanachama kugombea uongozi bila ukomo wakati awali, waliruhusiwa kugombea kwa vipindi viwili vya miaka mitano.

Tukikumbuka Mabadiliko hayo Hayakuwepo Kipindi cha Mtei au Bob Nyanga Makani..

Tujikumbushe Kidogo...

Jumatatu, Juni 30, 2014 Msajili wa Vyama vya Siasa Aligomea Mabadiliko hayo Ya CHADEMA Japo Sikujua Ilikuwa akayakubali tena..

Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa ilisema haitambui kuondolewa kwa kipengele cha ukomo wa uongozi uliofanywa na Chadema bila kufuata idhini ya mkutano mkuu wa chama hicho.

hivyo Msajili (Jaji Francis Mutungi) aliandika barua kwa CHADEMA, kwenda kwa Katibu Mkuu wa Chadema enzi hizo Akiwa ni Dr Wilbrod Slaa ikiwa barua hiyo inasema kipengele hicho katika Ibara ya 6.3.2 (C) kiliondolewa kwenye katiba bila idhini na mkutano mkuu wa chama hicho.

Mutungi alitia Mashaka baada ya kupitia muhtasari wa kikao cha mkutano mkuu wa mwaka 2006 suala la kuondoa kipengele cha ukomo wa uongozi halikuonyesha kujadiliwa katika mkutano huo.

Hata hivyo Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod
Slaa alisema kipengele hicho kiliondolewa kwa vikao vya chama ambavyo ni wilaya na mkoa. Kitu ambacho kinapingana pia na Katiba ya Chama Huwezi kufanya Maamuzi ya Kubadili katiba ya Chama kwa Mkutano wa Viongozi wa Mikoa na Wilaya..

"Mjadala kuhusu ukomo wa uongozi ulishamalizika na haujadiliwi tena, ulishapitishwa na vikao halali vya chama mkutano mkuu ulipitisha yale yaliyoamuliwa na vikao vya chini," alisema Dk Slaa.

nilimuona Jaji Mutungi kama Kibaraka alipoendelea
kulishikia bango Swala hilo kwa kusema Chadema
wamefanya mabadiliko bila kufuata katiba

Hata Hivyo sasa Nimeelewa Kwanini Mbowe Alibadilisha Katiba Ili atawale milele..

Siri hiyo na Hoja Hiyo ya Kubadilisha Katiba Ili kutawala milele iliwasilishwa na aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Arusha, Samson Mwigamba..

alienda Kushitaki kwa Msajili wa Chama..

Ndugu zanguni Kuna Mambo mengi sana Yapo chini ya Carpet kuhusu Uongozi wa Mbowe na Chama cha Chadema nina hakika Mbowe akitoka Kuwa Mwenyekiti Tutayajua Mengi maana Sasa Hivi wanamuogopa kwa sababu ya Uenyekiti..
 
Kwa nini msajili wa vyama vya siasa anaruhusu uchaguzi wa mwenyekiti taifa CCM ufanyike bila ushindani wowote??
 
Alisema kwa wakati huo ilikua kuna haja maana hakukua na watu wa kutosha kuomba hizo nafasi ila kwa sasa chadema ishakua sana so hamna tena shida ya watu!
 
Francis Mutungi anastaafu lini hiyo nafasi au haina ukomo? Tayari amekaa miaka 12 kama msajili
 
Mwaka 2006, Katiba ya Chadema ilifanya marekebisho yaliyoruhusu wanachama kugombea uongozi bila ukomo wakati awali, waliruhusiwa kugombea kwa vipindi viwili vya miaka mitano.

Tukikumbuka Mabadiliko hayo Hayakuwepo Kipindi cha Mtei au Bob Nyanga Makani..

Tujikumbushe Kidogo...

Jumatatu, Juni 30, 2014 Msajili wa Vyama vya Siasa Aligomea Mabadiliko hayo Ya CHADEMA Japo Sikujua Ilikuwa akayakubali tena..

Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa ilisema haitambui kuondolewa kwa kipengele cha ukomo wa uongozi uliofanywa na Chadema bila kufuata idhini ya mkutano mkuu wa chama hicho.

Mwaka 2006, Katiba ya Chadema ilifanya marekebisho yaliyoruhusu wanachama kugombea uongozi bila ukomo wakati awali, waliruhusiwa kugombea kwa vipindi viwili vya miaka mitano.

hivyo Msajili (Jaji Francis Mutungi) aliandika barua kwa CHADEMA, kwenda kwa Katibu Mkuu wa Chadema enzi hizo Akiwa ni Dr Wilbrod Slaa ikiwa barua hiyo inasema kipengele hicho katika Ibara ya 6.3.2 (C) kiliondolewa kwenye katiba bila idhini na mkutano mkuu wa chama hicho.

Mutungi alitia Mashaka baada ya kupitia muhtasari wa kikao cha mkutano mkuu wa mwaka 2006 suala la kuondoa kipengele cha ukomo wa uongozi halikuonyesha kujadiliwa katika mkutano huo.

Hata hivyo Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod
Slaa alisema kipengele hicho kiliondolewa kwa vikao vya chama ambavyo ni wilaya na mkoa. Kitu ambacho kinapingana pia na Katiba ya Chama Huwezi kufanya Maamuzi ya Kubadili katiba ya Chama kwa Mkutano wa Viongozi wa Mikoa na Wilaya..

"Mjadala kuhusu ukomo wa uongozi ulishamalizika na haujadiliwi tena, ulishapitishwa na vikao halali vya chama mkutano mkuu ulipitisha yale yaliyoamuliwa na vikao vya chini," alisema Dk Slaa.

nilimuona Jaji Mutungi kama Kibaraka alipoendelea
kulishikia bango Swala hilo kwa kusema Chadema
wamefanya mabadiliko bila kufuata katiba

Hata Hivyo sasa Nimeelewa Kwanini Mbowe Alibadilisha Katiba Ili atawale milele..

Siri hiyo na Hoja Hiyo ya Kubadilisha Katiba Ili kutawala milele iliwasilishwa na aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Arusha, Samson Mwigamba..

alienda Kushitaki kwa Msajili wa Chama..

Ndugu zanguni Kuna Mambo mengi sana Yapo chini ya Carpet kuhusu Uongozi wa Mbowe na Chama cha Chadema nina hakika Mbowe akitoka Kuwa Mwenyekiti Tutayajua Mengi maana Sasa Hivi wanamuogopa kwa sababu ya Uenyekiti..
Alikuwa anamwogopa Zitto Kabwe na Juliana Shonza 🐼😂
 
Back
Top Bottom