Kwanini FIFA linaitwa Shirikisho na IOC ni Kamati?

nyumbamungu

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2017
Posts
1,033
Reaction score
895
Wenye kuelewa, kwanini FIFA linaitwa Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani, wakati IOC Inatambuliwa kama Kamati ya Olimpiki Duniani?
 
Wenye kuelewa, kwanini FIFA linaitwa Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani, wakati IOC Inatambuliwa kama Kamati ya Olimpiki Duniani?
Shirikisho la vyama mpira duniani. Kamati ya olimpiki duniani.

FIFA inaundwa na vyama vya mpira duniani, IOC ni kamati ya mashindani ya olimpiki tu. Michezo yote kwenye olimpiki iko chini ya vyama vyake mfano Soka (FIFA)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…