Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Mara baada ya Assad kupinduliwa na kukimbia nchi yake kwenda Urusi huku vikundi vya waasi vikiwa vimechukua mambo yameanza kubadilika kwa wana-Syria duniani kote.
Hivi karibuni nchi nyingi za Ulaya zimetangaza kuacha kupokea wakimbizi kutoka Syria.
Nchi hizo ni pamoja na Germany, France Italy, UK, NetherlandS, Belgium, AustriA, Sweden, Finland, Denmark, Norway, Czechia, Switzerland, Croatia na Greece.
Kwanini nchi hizi zimegoma kupokea wakimbizi kutoka Syria baada ya Assad kukimbia nchi?
Ni wanaogopa Muslim extremists kuingia kwenye nchi zao?
Wanaona hakuna haja ya kupokea wakimbizi kwa sababu Assad ameondoka
Au hii imekaaje?