Kwanini gari aina ya Toyota Rush inauzwa bei kubwa?

Pangolinr

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2019
Posts
254
Reaction score
286
Salaam kwenu,

Kati ya malengo yangu mwaka huu ni kubadilisha gari, basi nikaingia sokoni kusaka gari mpya nikavutiwa na Toyota Rush ambayo ina 4 wheel drive na pia cc zake sio kubwa ni 1490 ila nimeshangaa kukuta bei yake inataka kufanana na Nissan Dualis, nikajiuliza ni kwanini Rush inauzwa bei hivi almost 20m na ushee!
 
Sijawahi kuzielewa kabisa, na Kuna zile zinaitwa Suzuki Jimmy, bei zinanishangaza sana
 
Salaam kwenu,

Kati ya malengo yangu mwaka huu ni kubadilisha gari, basi nikaingia sokoni kusaka gari mpya nikavutiwa na Toyota Rush ambayo ina 4 wheel drive na pia cc zake sio kubwa ni 1490 ila nimeshangaa kukuta bei yake inataka kufanana na Nissan Dualis, nikajiuliza ni kwanini Rush inauzwa bei hivi almost 20m na ushee!
Sio bei kubwa ,sema we pesa yako ya manati
 
Huko hote sawa ila kwanin iuzwe ghali kiasi kile
Ni moja kati ya gari za juu ambayo ina consumption nzuri ya mafuta na pia maintanance costs zake ziko chini ukilinganisha na gari nyingine za juu.
 
Back
Top Bottom