ukiilinganisha kwenye kundi lake na aina yake,yenyewe kidogo ipo juu juu,hata sehemu korofi yaweza pita kwa urahisi.Inanusa mafuta
Sio bei kubwa ,sema we pesa yako ya manatiSalaam kwenu,
Kati ya malengo yangu mwaka huu ni kubadilisha gari, basi nikaingia sokoni kusaka gari mpya nikavutiwa na Toyota Rush ambayo ina 4 wheel drive na pia cc zake sio kubwa ni 1490 ila nimeshangaa kukuta bei yake inataka kufanana na Nissan Dualis, nikajiuliza ni kwanini Rush inauzwa bei hivi almost 20m na ushee!
Dah 🤣Sio bei kubwa ,sema we pesa yako ya manati
Terios Bei nafuuukiilinganisha kwenye kundi lake na aina yake,yenyewe kidogo ipo juu juu,hata sehemu korofi yaweza pita kwa urahisi.
Dah [emoji1787][/
[emoji1787][emoji1787]
Sio bei kubwa ,sema we pesa yako ya manati
Rush ni Compact SUV. hakunaga suv inauzwa chini ya 20m sijui kiwe ni kabukuki gani hicho
Huko hote sawa ila kwanin iuzwe ghali kiasi kileDaihatsu Terios kid yenye nembo ya Toyota
Ni moja kati ya gari za juu ambayo ina consumption nzuri ya mafuta na pia maintanance costs zake ziko chini ukilinganisha na gari nyingine za juu.Huko hote sawa ila kwanin iuzwe ghali kiasi kile
Sio bei kubwa ,sema we pesa yako ya manati
Daah, jamaa sijui kama atarudia kukukejeli, na unaweza ukakuta yeye gari kwake ni ndoto ambayo hajawahi kuiotaKuuliza sio ujinga mkuu,nimeshainunua.
Habari mkuu. Niliona umeanzisha thread kuhusu Toyota rush. Vipi, unaenda nayo vipi? Changamoto zozote unapata?Kuuliza sio ujinga mkuu,nimeshainunua.