KINGSLEE
JF-Expert Member
- Aug 30, 2013
- 830
- 1,046
Wadau habar zenu,
Naomba kujuwa ni kwanini gari za KIA SPORTAGE zinatengenezwa Korea kuwa na bei ndogo kuliko Team Toyota.
Hizi Kia Sportage zinaComfortable nzuri tuu hata baadhi ya Toyota with the same Class hazizikutii kwa Ubora.
Mfano hii ipo Comfortable, Luxury, ina high Stability with Airbag za kutosha na imewekwa engine ya Diesel, but price yake ipo chini.
Mwenye elimu atusaidie.