Sitaki uzungumzie mambo ya mbio,hatupo kwenye mashindano ya mbio!Zungumzia juu ya reliability,comfortability,durability na kadhalika.Ilinipita siku moja nipo na Crown anthlete 120km yan km nimEsimama!
Nimeitafuta sikuion tena...
Kwan ikifa si unaweza ukafanya modification injin ukaweka ya Team Tiyuta body ikabak hiyo hiyoYalikuwepo mengi tu haya bongo yalikuwa yakifa yamekufaView attachment 1955792
Tatizo kia ushuru mkubwa sana. Hiyo inataka 23m hivi ushuru tu. Binafsi napenda kia grand carnivalWadau habar zenu,
Naomba kujuwa ni kwanini gari za KIA SPORTAGE zinatengenezwa Korea kuwa na bei ndogo kuliko Team Toyota.
Hizi Kia Sportage zinaComfortable nzuri tuu hata baadhi ya Toyota with the same Class hazizikutii kwa Ubora.
Mfano hii ipo Comfortable, Luxury, ina high Stability with Airbag za kutosha na imewekwa engine ya Diesel, but price yake ipo chini.
Mwenye elimu atusaidie.
View attachment 1954544View attachment 1954545View attachment 1954546
Mshikaji atakuwa bado anawaza NMB Marathon.....Sitaki uzungumzie mambo ya mbio,hatupo kwenye mashindano ya mbio!Zungumzia juu ya reliability,comfortability,durability na kadhalika.View attachment 1955790
Hapo sasa si utakuwa unaendesha toyotaKwan ikifa si unaweza ukafanya modification injin ukaweka ya Team Tiyuta body ikabak hiyo hiyo
Acha kupangia watu cha kusema, madikteta sana nyinyi, wabaya zaidi, hamjijui tuSitaki uzungumzie mambo ya mbio,hatupo kwenye mashindano ya mbio!Zungumzia juu ya reliability,comfortability,durability na kadhalika.View attachment 1955790
Sisi akina nani?Acha kupangia watu cha kusema, madikteta sana nyinyi, wabaya zaidi, hamjijui tu
Kwendraa, toeni maboriti machoni kwenuSisi akina nani?
Sijui ila nafahamu jamaa moja alikuwa nalo jipya likafa hadi likawa gofu la kufugia nyukiKwan ikifa si unaweza ukafanya modification injin ukaweka ya Team Tiyuta body ikabak hiyo hiyo
Nimekuuliza swali kutokana na hoja yako uliyojenga na hujaweza kujibu.Wewe huna tofauti na K.Kwendraa, toeni maboriti machoni kwenu
Ww ni ****Nimekuuliza swali kutokana na hoja yako uliyojenga na hujaweza kujibu.Wewe huna tofauti na K.
Haa Haa HaaTulia mafundi chini ya mwembe walete zile stori zao