Kwanini gari za Kia Sportage zinatengenezwa Korea kuwa na bei ndogo kuliko Team Toyota

S korea kuna gari mpaka za laki sita ya huku...
Kuna hyundai sentafe ya 2005..2.5 m , bado nawaza kama zitaweza mikiki ya bongo
 
Demand yake ndogo...

Pia gharama za uzalishaji na uendeshaji viwanda Korea ni rahisi kuliko Japan...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…