Kwanini gentamycin namuogopa kumjibu vibaya?

Jamaa hadi mods nahisi wanamuogopa

Si kweli na kama kweli hao Moderators wangekuwa ' wananiogopa ' basi wasingenipa ' BAN ' ya Wiki mbili ( Siku 14 ) ambayo imeisha rasmi jana. Acha Kuwasingizia Moderators wa JamiiForums mambo ambayo hawayafanyi na labda kwa kukusaidia tu sasan hakuna ' Member ' ambaye huwa ' ananyooshwa ' vilivyo kwa ' BAN ' hapa Jamvini kama Mimi GENTAMYCINE na uzuri ni kwamba ' BAN ' zao zote Kwangu huwa nazistahili Kuzipata kwakuwa kuna muda mwingine huwa ' nakangeuka / nakosea ' hivyo nami huwa nakuwa Mpole kusubiri hadi adhabu yangu imalizike na nawashukuru mno hao hao ' Moderators ' kwa kuniweka katika mstari Kimaadili na Kinidhamu pale nikiwa naenda Kinyume na taratibu za hili Jukwaa pendwa.
 
Kumbe uko huku? Haya hebu nambie mimba yetu inaendeleaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…